Mahitaji Yetu


                                           
Sare za shule   na Michezo     
Tshs. 20,000  x  4 pcs kwa mwaka  x idadi ya watoto 20
Jumla = 1,600,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs  1,600 kila mwezi


Nguo  za kawaida
Tsh 20,000  kwa mwezi  x miezi 12 x idadi ya watoto 20
Jumla = 4,800,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs. 4,800 kila mwezi
 
Viatu (shule na Kawaida) 
Tshs. 20,000  x 4 pairs  kwa mwaka  x idadi ya watoto 20
Jumla = 1,600,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs  1,600 kila mwezi

 Gharama za Elimu
Tsh 150 ,000   kwa muhula x kwa mihula 3 x idadi ya watoto 20
Jumla =9,000,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs 9,000 kila mwezi
 
 
Gharama za Matibabu
Tsh 100,000 kwa mwaka  x idadi ya watoto 20
Jumla =2,000,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs  2,000 kila mwezi
 
 
Gharama za Chakula 
Tsh. 50,000 kwa mwezi  kwa kila mtoto x miezi 12 x 20 idadi ya watoto
Jumla = 12,000,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs. 12,000 kila mwezi
  
 
NB - Kila Rafiki yuko huru kutoa msaada wa aina yoyote kwa kundi lolote kwa kufanya maamuzi binafsi katika kutoa msaada huo, ni hiari yake kutoa hela na kitu halisi, kwa waliotayari pia kwa kutusaidia huduma za shule na huduma za matibabu wanaweza kutoa msaada huo moja kwa moja kwa watoa huduma wetu kama shule na ofisi za bima ya afya.
 
   
"Asanteni sana tunathamini mchango wenu"
 

No comments:

Post a Comment