Sare za shule na Michezo
Tshs. 20,000 x 4 pcs kwa mwaka x idadi ya watoto 20
Jumla = 1,600,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs 1,600 kila mwezi
Nguo za kawaida
Tsh 20,000 kwa mwezi x miezi 12 x idadi ya watoto 20
Jumla = 4,800,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs. 4,800 kila mwezi
Viatu (shule na Kawaida)
Tshs. 20,000 x 4 pairs kwa mwaka x idadi ya watoto 20
Jumla = 1,600,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs 1,600 kila mwezi
Gharama za Elimu
Tsh 150 ,000 kwa muhula x kwa mihula 3 x idadi ya watoto 20
Jumla =9,000,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs 9,000 kila mwezi
Gharama za Matibabu
Tsh 100,000 kwa mwaka x idadi ya watoto 20
Jumla =2,000,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs 2,000 kila mwezi
Gharama za Chakula
Tsh. 50,000 kwa mwezi kwa kila mtoto x miezi 12 x 20 idadi ya watoto
Jumla = 12,000,000
Tunahitaji Marafiki 1,000 wataochangia Tshs. 12,000 kila mwezi
NB - Kila Rafiki yuko huru kutoa msaada wa aina yoyote kwa kundi lolote kwa kufanya maamuzi binafsi katika kutoa msaada huo, ni hiari yake kutoa hela na kitu halisi, kwa waliotayari pia kwa kutusaidia huduma za shule na huduma za matibabu wanaweza kutoa msaada huo moja kwa moja kwa watoa huduma wetu kama shule na ofisi za bima ya afya.
"Asanteni sana tunathamini mchango wenu"
No comments:
Post a Comment