Friday, 15 March 2013
Baadhi ya Picha za Ufunguzi wa Kituo cha Canaan Children Center
Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha Mhashamu Josaphat L. Lebulu,
akifungua rasmi kituo cha Malezi ta watoto cha Canaan Children Centre
SPEECH BY THE ARCHBISHOP OFARUSHA ON THE BLESSING OF CANAAN CHILDREN’S CENTRE
Distinguished Guests, Reverend Fathers, Reverend
Sisters, Esteemed Members of the lay faithful of the entire Catholic
Archdiocese of Arusha; All of you brothers and sisters in the Lord Jesus
Christ.
I greet all of you in the love and peace of our
savior, Jesus Christ, who suffered for our sake and who bestows upon each of us
his love and peace through his very sufferings!
Tuesday, 12 March 2013
Taarifa ya Ufunguzi wa Kituo cha Watoto cha KANAANI – Kisongo Tar. 17 Feb 2013
Kituo cha Watoto cha Kanaani – Kisongo,
kilifunguliwa rasmi na Mhashamu Baba Askofu Mkuu Josaphat Lebulu kwa Misa
Takatifu ya kukibariki siku ya Jumapili Tar. 17 Februari 2013. Misa hii ambayo
iliadhimishwa na Mhashamu Baba Askofu Mkuu akishirikiana na mapadre 12 ilihudhuriwa na wana Familia ya Mungu ya
Arusha zaidi ya 600, pamoja na marafiki wa kituo kutoka Ujerumani (Partnership
for Africa), na viongozi wa serikali wakiwakilishwa na Mganga Mkuu wa Mkoa na
Afisa Ustawi wa Jamii wa Mkoa.
Subscribe to:
Posts (Atom)